Jay Melody Lyrics
Read the official lyrics to ‘Sawa’ by Tanzanian singer Jay Melody. The song features an infectious melody and melodic lyrics, as well as a catchy chorus. It is the perfect summer song and is sure to be a hit with fans of afro-pop and tropical music.
Sawa Cover
Jay Melody – Sawa Lyrics
Jay once againMapenzi tuNimepagawa hamjuiYe kila mara ananifanya silaliNamwaza yeye tuAnayeweka roho yangu juuAna utoto tuSema uzuri ananipaga asaliMi nailamba tu
Na penzi letu ni kama sunnaNa ulinzi kama sumaHata akinunaBado unapendeza mchumbaMkimuona ananichunaMsinionee hurumaCha mtu huliwa na mtuKutu yake chuma
Basi mwambieni nampendaSawa, sawa, sawaAh mwambie mi nampendaYes (Sawa) Right (Sawa) Sawa
Huo utamu hasa nikiingiaAkifungua gate naingiaAkipanua neti naingiaNa wala sikwepeshi naingiaSina akili ya kuchange ideaHapo hapo nimemng’ang’aniaHapo hapo nimeshikiliaNa visokorokwinyo mtaumia, naahaaKwa hakika haya mapenziKusema kweli, yataniuaKwa hakika haya mapenziKusema kweli, yataniua
Na penzi letu ni kama sunnaNa ulinzi kama sumaHata akinunaBado unapendeza mchumbaMkimuona ananichunaMsinionee hurumaCha mtu huliwa na mtuKutu yake chuma
Basi mwambieni nampendaSawa, sawa, sawaAh mwambie mi nampendaYes (Sawa) Right (Sawa) Sawa
Read Other Latest Music Lyrics Here
Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook
The post Sawa Lyrics by Jay Melody appeared first on ovideos.ng.